Acts 2:31

31 aDaudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Al-Masihi,
Al-Masihi maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.
Copyright information for SwhKC